top of page
The Intanet media blog.
Ni blog inayolenga kuandika habari na makala mbali mbali zinahusu maswala
yote yanayoigusa jamii ya mtanzania/afika katika nyanja zake zote. Ingawaje tumejikita sana kuandika habari zinazobeba ujumbe na mafunzo muhimu ambayo tunaamini yataweza kubadilisha ulimwengu wa intaneti katika jamii yetu.Hivyo bhasi tumeichagua lugha ya kiswahili ili kuweza kufikisha ujumbe kwa jamii .
Blog hii imeanzishwa na bwana LANCE BENSON Ambaye sasa ni mkurungenzi mtendaji wa blog hii.
kwa lolote wasaliana nasi

bottom of page