Maneno Kumi Mazuri zaidi katika lugha ya Kiswahili.
- lance
- Feb 11, 2016
- 1 min read
Lugha ya kiswahili inamvuto wa kipekee. Ni lugha inayosifika kuwa tajiri wa maneno mazuri yanayo mpa raha mzungumzaji wake pale anapo yatamka au pengine anapoyasikia. Kila mzungumzaji anamaneno anayoyapenda zaidi kulingana na hisia binafsi juu ya maneno fulani. Lakini kuna maneno ambayo ni maneno pendwa zaidi katika lugha hii. Maneno hayo ni kama yufuatayo
AHSANTE.
Ni moja katika ya maneno yanayotumika zaidi zaidi. neno hili ambalo maana yake ni kutoa shukrani kwa ajili ya jambo fulani. NI moja kati ya maneo pendwa zaidi katika lugha hii ya kiswahili.
SAFARI. NI neno lililojichukulia umaharufu mkubwa katika nchi za wenzetu mpaka kufikia kuchukuliwa kama neno katika lugha ya kingereza. KARIBU
JAMBO














Comments